Search

369 results for Sute Kamwelwe :

  1. DC Muheza awapa mabinti wa chuo siri ya kufanikiwa

    Mkuu wa Wilaya ya Muheza Zainab Abdallah amesema kuna chuoni kuna watu wanafanya sherehe za kuzaliwa kila siku unaweza ukawa unatengeneza keki na kuuza

  2. Sababu ya kuadhimisha Siku ya Dunia

    Siku ya Dunia kwa mara ya kwanza iliadhimishwa Aprili 22, 1970, huku kauli mbiu rasmi kwa mwaka huu wa 2024 ni "Dunia vs. Plastiki, ikiwa na lengo la kuonesha msaada kwa ulinzi wa mazingira

  3. Mkuu wa intelijensia wa jeshi la Israel ajiuzulu

    Aharon Haliva ambaye ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi wa Kijeshi anatajwa kuwa ndiye ofisa wa kwanza wa ngazi ya juu kujiuzulu kwa kushindwa kuzuia shambulio

  4. Serikali yapokea boti ya doria kuimarisha ulinzi baharini

    Serikali imepokea boti ya doria kuimarisha ulinzi maeneo ya baharini na maziwa makuu kukabiliana na vitendo vya kihalifu majini.

  5. PRIME Madhara kuyapa kisogo malezi ya mtoto wa kiume

    Uwezeshwaji katika nyanja na fursa mbalimbali kwa watoto wa kike umeshuhudiwa kwa kiasi kikubwa katika zama hizi ambapo kuna namna mtoto wa kiume anasahaulika, wadau mbalimbali wameibuka...

  6. CDF wa Kenya apata ajali ya helkopta, Ruto aitisha kikao cha dharura

    Rais William Ruto ameita Baraza la Usalama la Kitaifa (NSC) katika Ikulu ya Nairobi baada ya chopa ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuanguka leo Alhamisi ya Aprili 18, 2024

  7. Mafuriko yafunga Uwanja wa Ndege Dubai, kiwango cha mvua kikiweka historia

    Wastani wa mvua iliyonyesha kwa siku moja ni sawa na ya mwaka nzima katika nchi hiyo.

  8. Jordan yatoa kauli vita ya Iran na Israel

    inaelezwa kwamba vita vya Gaza vinavyoendelea tangu Oktoba 7, 2023 kati ya Hamas na Israel vimeleta changamoto kwa Jordan pia na sasa inakabiliwa na tishio la kuwa katikati ya mzozo kati ya...

  9. Mitambo ya kisasa kupima ujazo wa mafuta yasimikwa bandarini

    Hii inanufaisha Serikali na wadau wa mafuta kwa kupunguza makosa ya kibinadamu na kuongeza mapato kutokana na kodi stahiki.

  10. Tanzania yaahidi kuendeleza ushirikiano na China

    “Hayati Mwalimu Nyerere alifungua njia alipotembelea Beijing Februari 1965, Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai naye alikuja Juni mwaka huohuo.”

Page 1 of 37

Next